Hata iweje wapinzani wanabaki kuwa wapinzani tu.hawana zuri bali ni watumia fursa tu.Ni mafisi wanaosubiri mfupa.
Hawana sera na hawataki kujielekeza kwenye hoja ya kuikwamua nchi kutoka kwenye makucha ya kikoloni.
wapinzani ni zao la ukoloni. Hata wapewe nini watabaki hivyo tu.
Je...
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Moja Kwa moja, mimi sio mwanaharakati na sitaki kujihusisha.
Pamoja na hayo nikipata nafasi ya kuwasikiliza Hawa jamaa ni kama hawana mwelekeo wala mpango wowote.
Ukiwasikiliza sana utasikia vijembe na matusi pekee dhidi ya serikali na...