Habari wapendwa…
Hivi juzi apo niliona tangazo la kazi kutoka Western Governors University (ni chuo cha online originated huko Marekani), nikafanya interview ( phone interview) na siku chache mbeleni wakaniambia hongera kwa interview na wakanitaka nikusanye taarifa zangu za kibenki kwaajili ya...