Natamani kujua kuhusu open university ni chuo bora kwa kusoma natamani nikasomee hapo maswala ya ICT?
Lakini pia natamani kujua kuhusu course ya ICT soko lake la kuweza kuajiriwa na kujiajiri lina upana kiasi gani?
Na mwisho natamani kujua kama mtu alikuwa anasoma degree then akaamuwa tu...