ajira kwa watanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Wanasiasa wanalikwepa suala la ukosefu wa ajira kwa watanzania, Je uchaguzi huu wa 2025 utawafungua macho vijana?

    Kwanza hii ndiyo unapaswa kuwa ajenga muhimu kwa wagombea wote. Katika mambo ambayo serikali imeamua kuyakwepa kwa namna ya kuziba masikio ni hili suala la ajira kwa wahitimu mbalimbali, hii ni ishara kuwa taifa limekwama pakubwa sana. Miaka zaidi ya kumi Bado hakuna ubunifu wa ajira na...
  2. Bajeti ya serikali imeshaanza mbona ajira kimya sasa

    Mwaka mpya wa kiserikali umeshaanza, nadhani hapo nyuma tulishapokea shadi mbalimbali kutokana na suala la ajira hususani hizi za ualimu na afya lakini naona bado ubao umenuna Mbona hili suala la ajira limekuwa kizungumkuti tunasubiria mpaka kichwa kinauma, jamani hawa wenye mamlaka ebu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…