Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili.
Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar.
Mzanzibar anafaida mara 2...
ajiraajiramzanzibarajira zanzibar
bara
kero za muungano
mtanzania
mzanzibari
tangazo kazi zanzibar
uraia
utanganyika na uzanzibari
wabara
wazanzibari
zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.