Habari,
Natafuta Kazi ya Stationery. Nina cheti cha Computer na nina uzoefu wa Kazi ya stationary and internet cafe kwa muda wa miaka 6. Mkoa;- Dodoma, Dar es salaam na Iringa.
Mkoa ninao ishi kwa sasa ni Mbeya.
Age 25
Habari ya majukumu,
Natafuta mfanyakazi wa stationery mwenye uzoefu na kazi hii.
Location: Mbeya Mjini
Mawasiliano: 0629081759
NI HARAKA, WAI TUFANYE KAZI.