ajira tra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwenye ajira za TRA uwezekano wa Mbara kuajiriwa ni 1 kati ya 100 na Mzanzibari ni 10 kati ya 100, nimekosea hesabu zangu?

    WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara - 1,277 CHANCE YA KUPATA KAZI Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000) Wabara - 1 kwa kila waombaji 100 (1277/132027*100)
  2. Yani ajira 1,596 zimeombwa na watu 135,027, aiseeeee. Vijana tafuteni ya kufanya lasivyo mtaingia katika wimbi la msongo na uraibu

    Serously amka utafute ustadi wa kufanya jambo lolote la kukuingizia pesa. Na wewe kama una hio nafasi ishikilie kwa shukrani na unyenyekevu
  3. L

    Sekretarieti ya Ajira, kwanini mruhusu TRA kutangaza ajira zao? Naiona ile TRA ya makabila ikirudi kwa kasi

    Sekretarieti ya ajira mmekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana wasio na connection kupata ajira. Niukweli usio pingika Sekretariet ya Ajira mko fair sana katika kutafuta watumishi wa Umma, hakuna upendeleo wala vimemo, anaye ajiriwa kimsingi anakiwa amefanya vyema kwenywe Interview. Kitendo cha...
  4. G

    TRA hawatoi majina ya walioajiriwa badala yake wanapigiwa simu, hii inaonesha wazi kuna kuajiriwa kwa kujuana

    Habari, Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze? Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo. Suala la mtoto wa...
  5. Je, Tangazo la Ajira TRA ni la kweli?

    Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali. Maswali langu ni: 1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa ajira(recruitment process)? 2. Ni lini sheria imebadilika kutoka PSRS(Sekretariat ya Ajira katika Utumishi...
  6. Kuna ukweli hapa

    Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
  7. Anuani (P.O. Box) za kutuma barua TRA & TAKUKURU hazipo, Je anuani ipi itumike

    Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??
  8. Nafasi 49 za kazi TRA na TPRI

    Tanzania Revenue Authority (TRA) Jobs June 2021, TRA Vacancies 2021, UTUMISHI TRA Jobs 2021 1. POST TITLE: CUSTOMS ASSISTANT II - 7 POST POST CATEGORY(S): ACCOUNTING AND AUDITING HR & ADMINISTRATION LEGAL TAXATION AND SOCIAL PROTECTION DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To receive documents...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…