ajira ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AJIRA UALIMU : COMMERCE NA BOOK KEEPING (ACCOUNTANCY)

    Anahitajika Mwalimu Kwajili ya kufundisha somo la commerce na Accountancy A level. Shule Iko Mbeya Mjini. Qualification: mtu mwenye degree katika masuala ya Commerce na Accountancy. Au Finance na Account. Mawasiliano: +255754543934 Salary: Government scale.
  2. Naibu Waziri TAMISEMI: Serikali inaendelea kupunguza uhaba wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa katika majaribio ya matumizi ya teknolojia ya madarasa janja. Katimba...
  3. Aisee serikali imetukamia walimu

    Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa. Jipangene jamaa wapo siriasi. Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi. Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto...
  4. Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Log in > Nenda my Application > Employer. Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview.... Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea... Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao.. Kama uliomba masomo mawili, Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar...
  5. Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

    Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira. Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…