ajira ya boda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

    Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda chali. Mimi watoto wangu siwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…