Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi...
Wakuu Habari,
Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.
Msaada wakubwa🙏
Kumb.Na.JA.9/259/01/B/ 11
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 9,483 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Maeneo ya...
Habari.
Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.
Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview.
Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira.
Zipo kada mbalimbali nazo ni.
1...
Habari wanajf,
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Serikali ya Rais Samia suluhu imedhamiria kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 28000 mikoa yote Tanzania bara kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Na watakaochaguliwa watapata fursa ya kuhudhuria mafunzo ya miezi sita ambayo yanagharamiwa na...
Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
Ninaomba suala la hizi nafasi liangaliwe vizuri.
Nilishangaa nafasi zilishajaa mapema lakini waliongeza siku ili watu waombe.
Kwa sasa watu wanajitahidi kupeleka pesa ili wapate upendeleo.
Na hata ucheleweshaji wa kutoa majina ya waliopata nafasi unafanyika ili ipatikane mianya ya watu...
Hivi ni kwanini serikali inaposema inatangaza ajira huzungumzia zaidi ajira za afya na ualimu.
Inamaana huwa haiwazi kuwa kuna graduates wa fani zingine pia?
Hivi ni kwanini isifuatilie upungufu na kwenye taasisi zingine kisha itangaze ajira kwa pamoja?
Kwanini ajira za graduates wa fani...
Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number...
Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo
Kazi iendelee....
Job Summary
Position: Field Interviewers (3 posts)
Reports To: Project Leader
Work Station: Ifakara
Apply By: June 11th 2021
Institute Overview
Ifakara Health Institute (IHI) is a leading research organization in Africa with a strong track record in developing, testing and validating...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.