Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa, sina hata muda wa salamu maana tutachoshana tu.
Nilikua nikisikia maafisa wa serikali wanashauri vijana tujiajiri, nilidhani ni wanafiki, kumbe wanapitia magumu sana na hawatamani wengine yatukute, ila sasa walishakua walemavu wa fikra hawana kimbilio...