Shida kubwa ni ajira kwa vijana wa sasa lakini kuna uwezekano wa kazi za masaa kama ilivyokuwa hospitalini kwamba kuna daktari ataingia usiku na mwingine asubuhi.
Makampuni hapa Tanzania ni mengi kidogo lakini pale ambapo vijana watafanya kazi kwa masaa hata idadi ya wasioajiriwa itapungua...