Wakuu, habari za muda huu na poleni kwa shughuli mbalimbali za maisha. Nina maswali mawili kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Contact Centre Agent .
1. Maswali common yanayoulizwa kwenye aptitude test ni yapi?
2. Je ukifanikiwa kupita kwenye aptitude test inachukua muda gani kuitwa...