Wakuu habari za majukumu,
Naombeni msaada juu ya usaili wa haya majina ya ajira za polisi yaliyotoka Leo. Je inawezekana kufanya interview sehem ambayo ni tofauti na uliyojaza hapo awali? Mfano awali niliomba Iringa lakini muda huu nipo Kagera na siwezi kurudi Tena Iringa kwa Sasa. Inawezekana...
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko
Asantni🙏
Jamani kwa mwenye anajua maslai ya polisi kwa sasa embu atuambie maake nasikia kwamba ajira walizotoa mwaka huu maslai wataboresha zaidi, ukizingatia kwa sasa ni vijana watupu wamepewa kipaumbele but kwa upande wangu i think this all its done because of the general election on 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.