Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.
Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo...