Hivi viwanda vipo Iringa na Njombe. Wanakata milingoti sana na wanaharibu mazingira. Wafanyakazi hatuna mikataba anakufukuza muda wowote kwa chochote.
Assume wazee wetu walipanda miti ili watoto tufaidike, anafaidika mchina.
Kwa siku kiwanda kimoja wanaweza kata miti zaidi ya 400 na viwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.