ajira za walimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 UVCCM Mwanza waunga mkono NETO, Waitaka Serikali Itoe Ajira

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira. Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  2. Wakusoma 12

    Wazo huru: Serikali iondoe mara moja posho za walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata pesa hizo zitumike kuajiri vijana wapya

    Hii hoja isipuuzwe hata kidogo posho za madaraka wanazolipwa Hawa viongozi hazina maana yoyote ile. Mkuu wa shule na Mwalimu mkuu Huwa hawana vipindi vyovyote shuleni. Muda wote ni kutanga na njia na kusimamia maendeleo ya shule husika. Kwa kuwa Sheria ya utumishi inataka wazi malipo yalipwe...
  3. M

    Pre GE2025 Mawaziri wa 3 wanatarajiwa kukutana na Umoja wa Walimu Wasio na ajira Tanzania (NETO) Machi 10

    Wakuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (Mb), amesema Mawaziri Watatu, akiwemo yeye, Waziri wa TAMISEMI, na Waziri wa Elimu wanatarajia kukutana na Umoja wa Walimu Wasio na ajira Tanzania (NETO) Machi 10, mwaka huu. Simbachawene...
  4. Career Mastery Hub

    Tafakuri kuhusu mchakato wa ajira za walimu na matakwa ya NETO na ushauri wangu kwa serikali Tanzania

    UTANGULIZI Madai ya NETO kuhusu serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaajiri walimu wote wa 2015-2023, Kufuta usaili kwa kada ya elimu yanaonesha presha kubwa kutoka kwa wahitimu wa elimu na maumivu ya mchakato wasasa. Presha hii ni ujumbe wa wazi kuwa watu wengi wanahitaji ajira na...
  5. S

    Naomba maelezo kuhusu Recategorization kwenye suala la ajira

    Habari za muda huu wadau wa JamiiForums. Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira. Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari. Niliomba ajira hii baada...
  6. Riskytaker

    Ajira za walimu zilikua 14,000 wameajiri 6000 halafu wamekaa kimya takribani siku 7 hakuna kinachoendelea

    Serikali imekuwa ikitangaza ajira lakini mara kwa mara matokeo hayalingani na ahadi. hii ni kwakada zote Hivi karibuni, tumeshuhudia uajiri wa walimu 6,000 badala ya 14,000 waliotarajiwa, bila maelezo ya kina kuhusu upungufu huo. Hii ni dalili ya ukosefu wa uwazi na kutowajibika kwa wale...
  7. deNavigator

    NETO punguzeni jazba: Tusiingize siasa kwenye elimu, tuache interview iamue nani aajiriwe

    .Acheni tu usaili wa walimu ubakie hivyo wazee. Labda kama kuna marekebisho basi yafanywe ila inerview ibaki. Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la kusahau content lipo deep sana. Na kwa uziada wapo walopita shule kijanja janja tu so hawako na uwezo...
  8. Waufukweni

    Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni

    Daniel Edigar Mkinga, Katibu NETO "Viongozi wetu wa Serikali, kutokana na uhalisia wa wahitimu na changamoto zinazoonekana katika zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, tunapendekeza yafuatayo yafanyiwe kazi. "Pendekezo la kwanza, kusitisha usaili mara moja kwa kada ya ualimu na kutumia utaratibu...
  9. Waufukweni

    Walimu wasio na Ajira (NETO) waibua mazito yanayofanyika kwenye vituo vya usaili. Wataja rushwa na kukosa usawa

    Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) wamefunguka sintofahamu ya ajira iliyopo kwa wahitimu kuanzia mwaka 2015 mpaka 2023. Soma: Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao Kwa upande wa masuala ya usaili wamedai "kumekuwa na changamoto nyingi ambazo...
  10. E

    Ajira za walimu Tanzania ni janga la Kitaifa

    Ndugu zangu habari zenu Kuhusu haya yanayoendelea kwenye ajira za ualimu ni uozo mtupu ,kwanini nasema hivi ● Huwezi kupata mwalimu bora kwa kufanya mtihani wa kuchagua tena kwa dakika 40 Kwa hiyo serikali imekosa imani na vyuo ambavyo vimepewa kibali na wao wenyewe kwa ajili ya kuzalisha...
  11. Abtali mwerevu

    Usaili wa Kuandika Ajira za Walimu Daraja la III C Maswali Gani Yataulizwa?

    Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025. Walimu wengi hawafahamu katika usaili...
  12. L

    Kuelekea ajira mpya za Walimu, hivi Serikali inaujua ukweli wa hali ilivyo mashuleni?

    Salaam, Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule hiyo ina walimu wawili tu, Mkuu wa shule na mwalimu mwenzake. Shule hii, iliyoanzishwa mwanzoni mwa...
  13. M

    Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  14. S

    Vijana graduates hawana ajira za kueleweka wenyewe wapo kimya

    Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu . Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya. Binafsi naumia kuona vijana...
  15. MAIKO EDMUND

    Ajira za walimu

    MUGARULA PUBLIC SERVICE RECRUITMENT MODEL (MPSRM). ALL PROFESSIONS. Summary: Direct placement of graduates based on minimum qualification (not exact), year of graduation and age successively in the lower ranks of the respective fields. WAHITIMU NA FAMILIA ZAO WAPUNGUZIWE MATESO. SOMA 7&12(IV)...
  16. Mowwo

    Sintofahamu Ajira za Walimu

    Habari za Furahi Day!! Baada ya serikali kutoa kibali cha ajira za walimu takribani 11,015, kupitia ajira portal dirisha la maombi lilifunguliwa na maombi yakafanywa. Baada ya maombi kupitia tovuti ya ajira portal walitangaza usaili wa walioitwa utaanza tar 23/10/2024 hadi 19/11/2024. Cha...
  17. kekule benzene

    Ushauri kwa wanaotarajia kuanza kusoma program za Ualimu 2024

    Leo 13/07/2024 matokeo ya kidato cha sita yametoka na ufaulu ni 99.43% Nawapongeza waliofaulu, lakini pia nawaasa kuwa makini sana katika kuchagua program za kusoma, maana matokeo mazuri ya kidato Cha nne na sita hayatokuwa na maana sana endapo ukifeli kuchagua program ya kusoma chuo. Kwa...
  18. Stephano Mgendanyi

    Halmashauri zenye uhaba wa Walimu kupewa kipaumbele kwenye ajira mpya

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema katika Ajira mpya za Kada ya Ualimu zitakazotolewa hivi karibuni mgawanyo wa walimu hao utazingatia Halmashauri zenye uhaba wa walimu. Mhe. Katimba ameyasema hayo katika mkutano wa 15 kikao cha 52 cha Bunge la...
  19. P

    Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Salaam! Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10, Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini. Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali...
  20. Magazetini

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Back
Top Bottom