akataa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Ramaphosa akataa Rapa AKA kufanyiwa mazishi ya Kitaifa

    Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa jamii na hivyo apewe heshima ya Kitaifa. Gavana Panyaza hakuomba fedha za Serikali zitumike kwa ajili...
  2. Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  3. Rais Kagame akataa nchi yake kupokea Wakimbizi wa DR Congo

    Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake. Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu...
  4. Rais Ruto akataa Scotland Yard kusaidia uchunguzi mauaji yenye utata

    Ni majibu ya Rais William Ruto kwa Raila Odinga aliyetaka wapelelezi hao kuchunguza mauaji ya aliyekuwa Meneja wa Mifumo ya TEHAMA wa Tume ya Uchaguzi IEBC mwaka 2017. Ruto amesema "Hatuhitaji ushauri kutoka Scotland Yard kuondoa na kuvunja vitengo vya mauaji katika jeshi letu la polisi...
  5. Ellon Musk akataa kutoa mawasiliano kwa Ukraine kuipiga Crimea ya Urusi

    Sasa imekuwa rasmi kuwa Ellon Musk ameyakataa maombi ya Ukraine kutumia mifumo yake ya mawasiliano katika eneo la Crimea. Ellon amesema akiruhusu hilo itakuwa kama ameruhusu Urusi kutumia silaha za nyuklia. Kwa upande wa maeneo mengine ya Ukraine amesema hawezi kutoa maelezo zaidi kwani ni...
  6. Spika Tulia Ackson akataa kuahirisha Bunge ili kujadili Panya Road

    Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge haziruhusu. Dkt. Tulia amesema kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 55 ya Bunge suala hilo...
  7. Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  8. Rais Samia ataka wananchi wasibugudhiwe

    Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie utaratibu mzuri.
  9. J

    Rais Samia akataa ombi la kuipandisha hadhi Mbalizi kuwa Halmashauri ya mji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali anayoiongoza haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa shida za wananchi hapa nchini. Rais Samia ametoa msimamo huo leo Ijumaa Agosti 5, 2022 akiwa Mbalizi mkoani Mbeya baada ya...
  10. Chelsea yasitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo, Kocha akataa dili

    Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo. Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa...
  11. Rashford akataa kuhamia Spurs, abaki Man United kupigania namba

    Mshambuliaji Marcus Rashford wa Manchester United amekataa ofa ya kwenda kuichezea Tottenham, kwa kuwa anataka kubaki kupigania namba katika timu yake ya sasa. Rashford (24) ambaye alifunga mabao manne na asisti 2 msimu uliopita katika Premier League, kiwango chake kimeshuka na hivyo kukosa...
  12. S

    Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  13. Mwanasoka Raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" Sababu?

    Mwanasoka raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" katika mechi ya Jumapili iliyoikutanisha timu yake ya BB Erzurumspor dhidi ya vinara wa Turkish Second Division timu ya Ancaragucu Aykut alipohojiwa kuhusiana na tukio hilo, alisema "Maelfu ya watu...
  14. S

    Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo. Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
  15. Rais Samia akataa kutukuzwa, asema yeye hawezi kujilinganisha na Mungu

    Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu. Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa. === Picha: Rais Samia Hassan Suluhu Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi...
  16. Akataa kuolewa kisa mwanauwe hawezi kuandaa sherehe ila mahali yuko tayari kutoa

    Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
  17. Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

    Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni. Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…