Aki Olavi Kaurismäki (Finnish: [ˈɑki ˈkɑurismæki] (listen); born 4 April 1957) is a Finnish screenwriter and film director. He is best known for the award-winning Drifting Clouds (1996), The Man Without a Past (2002), Le Havre (2011) and The Other Side of Hope (2017), as well as for the mockumentary Leningrad Cowboys Go America (1989). He is described as Finland's best-known film director.
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.
Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake...
Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndiye alikuwa/ anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia/ kuwapa mnadhani ni zake.
Nani kama mama ni misemo ya watoto/ vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi...
Kuna mwanamke ni mke wa mtu, anadai Ali squit mara moja tu katika maisha yake, kila nikikitananaye lazima godoro lijae maji kama ndoo yalita 10.
Cha ajab kila tukimaliza lazima aombe msamaha. Japo Mimi nainjoi sana....nikikumbuka pressure ya maji yale nikama Bomba na yanaipiga mashine kama...
Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
Wakuu
Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka.
Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea...
Habari Wana jukwaa...
Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia.
Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
Mchezaji wa PSG, Neymar (29) ameumia kifundo cha mguu wakati timu yake ilipokuwa ikichuana na klabu ya St Etienne katika dimba la Geoffroy-Guichard na kushinda kwa goli 3-1
Neymar alionekana kuugulia maumivu makali na kuonekana akilia pia katika tukio hilo lililotokea dakika 5 kabla ya kipenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.