Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank Pic (ACB) inapenda kutangaza uteuzi wa Mwenyekiti wake mpya, Bi. Catherine N. Kimaryo. Bi Kimaryo ni kiongozi mahiri, mwenye weledi na mbobezi katika nyanja za ukuaji na ufanisi wa biashara kutokana na uzoefu wake katika utoaji wa masuluhisho, mbinu...