Zile Kauli za kijinga za eti tusitumie Madini Hadi vizazi vingine ndio vije kutumia zitakuja kuwaliza watu sio mda.
Toto Russia avamie Ukraine imepatika fursa ya bei ya Makaa ya Mawe kupanda na ni wakati huu wa mpito ambapo Serikali inatakiwa kuweka pesa Kwa Stamico Ili washirikiane na private...
Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika.
Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia.
Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani
"Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini.
Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar
“Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.