Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno.
Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare.
Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika.
Hongereni wana...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema;
"Chama (CHADEMA) ni kikubwa kuliko mtu yeyote, hii dunia wote...
Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
Kama ilivyo binadamu hatuja kamilika basi tukumbuke kutokuwa na neno KAMWE or Never, hivyo lazima siku zote uwe na Asilimia moja ya kutokwenda unavyotaka kwa Jambo lolote lile.
Hii itakusaidia kufanya maamuzi sahihi pale mambo yanapokwenda vile usivyo taarajia mfano:
Lazima uwe na 1% kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.