Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ?
Nani anadaiwa ?
Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya unaambiwa nyumba ina deni la kodi ya ardhi miaka 7.
Nani alipe ? Kwanini ?
HABARI YA PASAKA JF,Je Ulishawahi Kujiuliza Unaenda Wapi Ukisha kufa? Fuatana na Mimi Asubuhi Upate Elimu.
MTU AKIFA ANAENDA WAPI?
Mwili hushushwa ardhini baada ya pumzi kurudi kwa muumba,yaani baada ya nafsi kufa!
Kifo kinauma sana,na ukizingatia wengi hatujui nini kinafuatia baada ya...
Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
Nina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile?
Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke wako ataweza kuimudu familia au itaangukia katika umaskini wakutupwa?
Kama jibu Ni hapana umejipanga...
Nimekuwa nikisia mara nyingi kuwa kunguru akifa haozi, bali hukauka tu na kadiri siku zinavyozidi kwenda hupukutika mpaka kuisha ila huwezi kuta kaoza wala kutoa harufu.
Badhi ya watu huwa wanasema haozi kwa sababu hali chumvi japo sina hakika katika hili maana mara kibao amekula vyakula vyenye...
Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake.
Maziko ya Bibi yangu...
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile.
Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
Nini kitatokea ikiwa marehemu aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini akazuiwa sehemu nyingine?
Naomba kufahamishwa wajuzi wenye historia waliowahi shuhudia matukio haya ikiwa marehemu wakati wa Uhai wake aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini baada ya kifo Ndugu/jamaa...
Great Thinkers.
Politicians ni binadamu kama binadamu wengine tu. Leo hii misiba tanzania iko mingi lakini ya wanasiasa inapambwa sana.
Wanasiasa wenyewe ndo hawa CCM wanaotutesa na ugumu wa maisha pamoja na ubadhilifu.
Kuna wanasiasa wa kulilia ila wengine hasa walio wengi tunasema asante mungu
Juzi hapa kulikuwa na tukia la askari Polisi mkuu wa kituo cha polisi Mwanakwerekwe, Zanzibar, akishambuliwa hadharani, na wananchi wakishangilia japo waliona askari alikuwa amezidiwa (angalia picha hapa chini).
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharib, amewalalamikia wananchi kwamba...
Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko.
Kama huamini Rais wa sasa ajidai amekufa kwa mwezi mmoja tu aone hawa alio nao sasa watasemaje akiwa amekufa. Wasiwasi wangu ni...
Shida ni nini?
Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa,
Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu!
Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda barabara ya Bagamoyo to Tanga, Dar to Moro...
Hamjambo?
Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa wanaweza kukataa urithi?
Asanteni
Habari wakuu natumaini ni wazima wa afya kabisa.
Swali langu kubwa ni kuwa hivi kwanini pale mtu anapo fariki huwa wanatoa nguo zake zote na kuzigawa.
Mfano kama mimi kuna mzazi wangu mmoja ali tangulia ila hata kabla hawaja mzikaa wakakusanya nguo zake zote na kuzikunja na kuzipack yani...
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki.
Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...
Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa!
Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake!
Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa!
Utawasikia wakisema haya!
1. Inchi imepoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.