1. Karibu bongo ambapo watu wapo bize na habari za maisha ya wasanii kuliko kufuatilia afya yake.🤗
2. Karibu bongo ambapo harusini lazima lipikwe pilau.🙄
3. Karibu bongo ambapo mtu ana funguo ya gari hana gari.🤔
4. Karibu bongo ambako ni rahisi kwa jamaa zako kuchangia pesa kwa ajili ya...