Ujana una mengi, vijana wengi huwa wanaingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa tamaa za kimwili bila kuweka umakini wa kumsoma mtu uwezo wake wa kiakili na utafutaji, amini kwamba kuna watu wanarudi nyuma kimaisha kwakuwa na bad partners.
Mke au mume anaweza akawa ki kwazo cha mafanikio...