Dunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu.
Wakuu wazungu tangu waliposhika kijiti wanaushawishi kwenye kila mtu na kila jamii dunia nzima.
Licha ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia bado sioni...