Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM.
Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi.
Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
Nimeona kabla ya kufika tarehe 1/04/2022 niwakumbushe Wana JF ya kuwa hilo hapo ni kaburi la kijana wetu mtoto wetu Akwilina Akwilin aliyefariki kwa kupigwa risasi Na Askari polisi aliye kuwa anazuia maandamano ya Chadema.
Polisi alifyatua risasi na kuua mwananfunI ambaye hakuwa hata kwnye...
"Sasa hivi hukumu imewaachia huru akina Mbowe wito wangu kwa wale wote wenye Mamlaka ambao wanalifuatilia suala hili wafanye juhudi waweze kuwaambia wananchi ukweli nini hasa kilitokea kuhusu yule binti (Marehemu Akwilina)"
- Wakili Peter Kibatala
"Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?"
- Mch...
Rais Samia mara baada ya kuapishwa alisema, tuanze upya. Sentensi ile ilibeba maana nzito iliyofichika kwa wasiotaka kutafakari.
Unaanza upya pale ambapo unaamini ulikosea, na ili uanze upya ni lazima ufahamu ulipokuwa, ulipokosea na namna ulivyokosea, ili unapoanza upya usiingie kwenye makosa...
You can't beg our votes for deals with crimes deu to your own politics interests ,why you sent police to assassinate little girl Akwilina this issue remained as remarkable .
JUST IN - United Nations Secretary-General António Guterres has appointed Elizabeth Maruma Mrema of Tanzania as Executive Secretary of the U.N. Convention on Biological Diversity (CBD), which is based in Montreal, Quebec, Canada.
=======
United Nations Secretary-General António Guterres...
Viongozi wa Chadema wamesha hukumiwa, Siku hiyo hiyo tulimpoteza Akwilina kwa kupigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha. NATAFUTA wakili ili kuisimamia familia ya Akwilina katika kuishtaki Serikali kwa mauaji.
PIA SOMA
- Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza...
WASIFU WA AKWILINA AKWILINI
Akwilina Akwilini alizaliwa tarehe 1 April, 1996 katika Kijiji cha Olele-Marangu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mtoto wa sita kati ya watoto nane wa familia ya mzee Akwilini Shirima.
Akwilina alipata sakramenti mbalimbali katika kanisa Katoliki la...
Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.