al ahly tripoli

  1. mdukuzi

    Chokri Khartoui kocha wa Al Ahly Tripoli afukuzwa kazi kwa kufungwa na Simba kibabe

    Amefanya kazi miezi miwili tu, Kweli mpira kazi ya ajabu sana. --- Al Ahli Tripoli has decided to sack their head coach Chokri Khatoui after failing to guide the team into the CAF Confederation Cup group stage on Sunday against Tanzanian giants, Simba SC.
  2. L

    Mambo 10 niliyoyaona Simba ikiikaanga Al Ahly Tripoli ya Libya

    1. Mchezo ulikuwa mzuri lkn ulitaka kuwa mgumu baada ya Mabululu kututanguliza na waarabu kuweka viungo wengi kati kuliko sisi ambao tulimtegemea sana Kagoma na Fernandez 2. Che Malone ameanza kutupanda kichwani, yeye na Hamza uchezaji wao uko slow sana na kama tungecheza na timu kubwa kama...
  3. uran

    FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  4. ngara23

    Mechi ya Simba vs Al Ahly Tripoli itaisha sare ya 1-1 hapo Jumapili

    Kwenye ulimwengu wa wa roho Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
  5. D

    Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

    I will be short Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home. Simba had a bad game. Imagine: 1. Zero shots on target. 2. Low ball possession. 3. Outrun. 4. Outperformed. 5. Referee...
  6. OMOYOGWANE

    Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

    Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa. Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL, Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi, Wana akili ya mpira na wanafanya...
  7. Kinau Michael

    Marejeo ya Simba na Al Ahly Tripoli dimba la Benjamin Mkapa

    Je, Simba anaweza kumfunga AA Tripoli kwa Mkapa? Simba SC Tanzania inarejea Lupasa kwa Mkapa ikiwa inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya makundi michuao ya Klabu Bingwa Afrika huku wengi wakiwa na matumaini kuwa inaweza ikafanya hivyo bila ubishi kutokana na rekodi yake katika uwanja huo...
  8. Pdidy

    Tusifanye mchezo, Al Ahly Tripoli inaweza kututoa mbele ya wake zetu kwa Mkapa

    Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa. Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa mjipange na aibu.
  9. L

    Mambo 10 niliyoyaona leo Simba vs Al Ahly Tripoli

    1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana. 2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu...
  10. Suley2019

    FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

    Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku. Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo
  11. sonofobia

    Simba na Al ahly tripoli inachezwa saangapi?

    Tuna taka kuona mnyama akishikwa sehemu mbaya na mwarabu . Tupeni ratiba watu wa mpira
  12. Gordian Anduru

    Kuelekea CAFCC: Simba vs Al-Ahly Tripoli msisahau rekodi hizi muhimu

    *Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali * Timu zote mbili ziitolewa na Orlando Pirates Simba ilitolewa robo fainali na Al Ahly tripoli ilitolewa Nusu...
Back
Top Bottom