al shabaab

  1. Uchunguzi unaendelea kufuatia taarifa kuwa Houthi wameanza ushirikano na Al Shabaab kupambana na Israel

    Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houthi wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili kuongeza nguvu katika vita vya meli zinazopita bahari zilizo karibu nao zenye uhusiano na Israel na...
  2. A

    The United States Treasury has sanctioned Crown Bus Services and two Kenyans for financing the Al Shabaab militia

    The US Treasury said Crown Bus Services has supported al-Shabaab’s logistical operations/FILE ANTI-TERROR WAR US Sanctions Crown Bus, Associates Over Al Shabaab Financing OFAC named Kenya-based Faysal Yusuf Dini (Dini), working closely with Mohamed Jumale Ali Awale (Awale), as an al-Shabaab...
  3. Nyie Manara TV acheni kutuongopea

    Kuna huyu mtangazaji wa Manara TV anayehoji watu kwa kifaransa, leo alimuhoji mchezaji wa ASEC Mimosas. Watu wamekuwa wanamsifia sana huyu dogo kisa ufahamu wake wa lugha ila ukiangalia inaonyesha hajawahi kupitia mafunzo yoyote ya uandishi wa habari kwa sababu kuna vitu vingi anavikosea ikiwemo...
  4. I

    Marekani yatangaza dau nono kwa gaidi wa Al Shabaab

    Mpango wa Idara ya Nchi ya Marekani wa Tuzo kwa Haki (RFJ), ambao unasimamiwa na Huduma ya Usalama wa Kidiplomasia, unatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa habari zitakazowezesha kukamatwa au kuhukumiwa katika nchi yoyote kwa Mohamoud Abdi Aden na mtu mwingine yeyote ambaye alitenda, kujaribu...
  5. I

    Kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab auawa na majeshi ya Marekani nchini Somalia

    Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia. Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye kiongozi wake mkuu Bw. Osama bin Laden naye aliuawa nchini Pakistan na vikosi vya vya jeshi maalumu...
  6. Wanamgambo wa Al Shabaab waua raia 21 wa Somalia

    Wanamgambo wa Al-Shabaab wametajwa kuhusika katika vifo vya Watu 21 na kuharibu magari yaliyokuwa yamebeba chakula cha msaada katika shambulizi Mkoani Hiran Nchini Somalia. Magari yalikuwa yakisafirisha chakula kutoka Jiji la Baladweyne kwenda Mji wa Mahas ambapo awali mashambuliazi yao yaliua...
  7. M

    Kwa tabia binafsi ninazozijua za Waliooana kwa Mbwembwe Leo, Ndoa yao ikidumu Miezi 6 tu najipeleka kwa Al-Shabaab au Boko-Haram wakanimalize

    Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
  8. Al Shabaab watoa somo kwa abiria kwenye basi linaloelekea Mandera

    Kundi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab walitoa mhadhara wa saa mbili kwa abiria waliokuwa kwenye basi lililokuwa likielekea Mandera katika Mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Kenya zikiwanukuu polisi. Polisi walisema wanamgambo...
  9. Somalia: Al Shabaab yashambulia kambi ya wanajeshi wa AU

    Kundi la Al Shabaab la Somalia limeshambulia kambi ya wanajeshi wa Umoja wa Afrika (AU) katika Mkoa wa Shabelle katikati mwa nchi hiyo, ikidaiwa raia watatu wamepoteza maisha katika mapigano hayo. Mkazi mmoja anayeishi katika kijiji kilicho karibu na eneo la tukio, alisema baadaye aliona...
  10. Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

    Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya. Wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia. ======== Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP At least two people were killed and five wounded...
  11. KDF kill 11-Al shabaab in Somalia

    Kenya: KDF Kill 11 Al-Shabaab Militia in Somalia 14 JULY 2021 Nairobi News (Nairobi) By Amina Wako The Kenya Defence Forces (KDF) under the African Union Mission in Somalia (AMISOM) on Wednesday, July 14, 2021, announced it had killed 11 Al Shabaab militia in Kuday, Kismayo. Confirming the...
  12. Jinsi Kikundi cha Al Shabaab kinavyotengeneza fedha

    Jinsi Kikundi cha Al Shabaab kinavyotengeneza fedha. Kinakusanya kodi sehemu nyingi kuliko Serikali ya Mogadishu, Somalia. Wana mashushushu bandarini. Kila shehena zinapoingia, wao wanajulishwa. Mmiliki wa shehena hatoi mzigo bandarini mpaka Al Shabab walipwe chao. Maeneo yote yanayoshikiliwa...
  13. W

    Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
  14. Vita ya Al Shabaab na Ahlul Sunna Wal Jamaa, dhana ya Ugaidi na ulafi wa Madaraka uliojificha chini ya kivuli cha Uislam

    CHIMBUKO LA AL SHABAAB, VITA YA AL SHABAAB VS AHLUL SUNNA WAL JAMAA NA DHANA YA UGAIDI CHINI YA KIVULI CHA UISLAM Naam Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakat, Katika nakala na machapisho yaliyopita nlieeleza kwa uchache dalili za kuenea kwa Ugaidi nchini Tanzania. Na pia kuna baadhi ya...
  15. Five killed in suspected Al Shabaab attack in Garissa

    Watu hao wameuawa leo Machi 15, 2020 na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulio mawili yaliyohusisha mabomu, yanayodhaniwa kufanywa na Wanamgambo wa Al Shabaab katika Kaunti ya Garissa Watu watatu waliuawa katika shambulio la kwanza ambapo gari la kubeba Wagonjwa lililokuwa likitoka...
  16. Al Shabaab katika mafunzo na mahafali yao huko Somalia

    Al Shabaab maana yake ni vijana wa kiume likiwa ni zao la Al Qaeda sasa hapa utaona jinsi wanavyofunzwa kambini na wanavyotawala. Pia utamsikia msemaji wao. Kwa kweli jamaa wanafanyiwa brainwashing mbaya sana na radicalization ya hali ya juu. BEWARE GUYS.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…