Jeshi la anga la Ethiopia limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa al-Shabab katika Mkoa wa Shabelle ya Kati nchini Somalia, Shirika la Fana Broadcasting Corporate liliripoti hapo jana (Ijumaa).
Mashambulizi hayo ya anga yametokea baada ya kutiwa saini kwa mkataba wa usalama kati...