Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF.
Naomba ushauri kwa wazoefu.
Asante
Soma Maelezo vizuri Tajiri😊
Nimemaliza kupauwa nimebakiza bati 5 nzima Tajiri. Hazina vipengere labda uje navyo wewe Tajiri😊
👉Bati ni Kampuni ya ALAF geji 30.
👉Mgongo mpana(Covermax) zipo 3 na mgongo mdogo zipo 2.
👉 bei ni TZS. 34,000 tu(hamna maongezi) kwa kila moja Tajiri.
👉 Zote jumla ni...
Kwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu?
Naomba kufahamishwa.
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri.
Tupo Arusha
ALAF Limited (Tanzania), moja ya makampuni yanayoongoza katika kutoa suluhisho kwa ujenzi imekabidhi mabati yenye thamani ya Sh35 milioni kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kusaidia mradi wa ukarabati wa taasisi hiyo.
Akikabidhi msaada huo MOI, Ofisa Mawasiliano na...
Reference Number
ALAF0904042024
Description
Procurement Management
Develop the annual and monthly Procurement Plan for the procurement of goods, works and services in consultation with reporting manager with focus on:
Timely delivery of procured services.
Obtaining best value for money...
Nimemaliza Kupiga Mbao, site yangu wameshakuja watu wa sales wa makampuni mbalimbali, na wamenipiga saundi za kutosha.
Mafundi nao waliopiga mbao wamenishauri ila walivyoona nimepagawa sielewi nitumie bati kampuni Gani wakaniambia wewe Bosi leta bati yeyote sisi tutapiga mana sijui...
Salaam kwa wanajukwaa.Naamini tuko poa kabisa.
Kwenye mada hapo naombeni ushauri juu ya geji ya bati ya kupaua kutoka kampuni ya Alaf.
Nimezunguka kwenye maduka nakutana na za geji 30 tu hizi ni zile migongo mipana ( Cover max). Kila nikiulizia geji 28 naambiwa ni kwa oda maalum na wanakiri hzo...
Habari wakuu.
Pamoja ya kuwa nimekuwa ni mteja mzuri tu wa bidhaa za ALAF lakini kwakweli sifahamu kiwanda hiki kama ni cha Serikali au ni cha mtu binafsi.
Hivyo ninaomba mwenye kujua anifahamishe. Kuna jambo ningependa tujadili baada ya kupata majibu ya swali langu.
Water pump Leo =300k
Printer canon na Hp=200k
Canon: inahitaji toner
Hp: printhead imekufa
Samsung note 9=400k
Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k
Washing machine: upande wa ku spin haufany kazi
Bati alaf la kigae gage 28 zipo 15pcs= 800k
Mazungumzo yapo..
Wana JF,
Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi.
Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi...
Wadau kama kichwa cha habari kisemavyo. Nimekutana na hii scenario nikabigwa na bumbu wazi
Nilowahi kupiga simu huduma kwa wateja ALAF nikaulizia bei za bati zao nika note kisha nika andaa mahesabu yangu ya paa langu
Ikapita wiki 2 nikaenda pale kiwandani kwao nikiwa na nia ya kununua mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.