Habari wana JF
Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao.
Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hadi kufikia Jumanne, Februari 14, 2023, Jumla ya laini za simu 900,000 ambazo hazikuwa na Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa, zilikuwa zimefungiwa mawasiliano.
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika.
Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili...
Tarehe 18 Septemba, watu wanatembelea maonyesho ya sayansi ya alama za vidole katika Jumba la makumbusho la sanaa la Ziwa Taihu Magharibi, mjini Changzhou, Jiangsu.
Maonyesho hayo yameweka sampuli ya fuvu, nyaraka na vitabu, na kutumia aina mbalimbali za picha, vifaa, sanamu kuonyesha...
Salaam Wakuu.
Leo tujadili kidogo kuhusu matumizi ya mifumo ya kusajili simukadi kwa alama za vidole maana moja kati ya faida tulizokuwa tukiambiwa ni kwamba utaweza kuzuia hali ya uhalifu wa kimtatandao ambao kwa wakati ule ulikuwa umeanza kuota mizizi.Maswali ya kujiuliza:
1. Je mfumo huu...
Yaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili, hii kwahiyo inamaanisha tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line?
Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa wito kwa wananchi kutoweka alama za vidole zaidi ya mara moja wanapokuwa wanasajili laini ili kuepuka kumsajilia mtu mwingine ambaye ana nia ovu.
Aidha amesema watatoa muda maalumu kwa kila mwananchi kuhakikisha namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.