An alarm device is a mechanism that gives an audible, visual or other kind of alarm signal to alert someone to a problem or condition that requires urgent attention.
Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk
Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk.
Tunaunga mifumo yote kwenye sjmu ya mkononi hivyo utaweza kuona matukio yote kwenye simu yako ukiwa popote pale.
Tunafunga fensi...
Namshukuru Mungu kwa neema zake nimehamia kwangu.
Changamoto ni ka usafiri kangu kanalazwa nje!
Nilikuwa naomba mwenye kujua bei ya "alarm system" ya kupiga makelele kwa saana mtu akiigusa anijuze!
Tutafanya biashara na commission juu!
Invitation To No: Tp/12/2023/Icb/W/028
Supplying, Installing, Testing And Commissioning Of Fire Detection, Alarm And Suppression System
Tanzania International Petroleum Reserves Ltd (TIPER) is a hospitality storage facility for bulk fuel with its share divided equally between the Government...
Ndugu na dada,
Naomba kuuliza kama alarm za hivyo zipo hapa bongo au ni mpaka kuagiza nje.
Kama zipo naomba kuelekezwa namna ya kuzipata and the price.
Yeyote anayezifahamu kindly share. Sio lazima iwe specific kwa mtu asiyesikia ila necessarily ya kuweza kumstua kwa vibration ya kutosha or...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 56, leo Juni 27, 2023.
===
UPDATE;
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesitisha shughuli za Bunge asubuhi hii wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na uchukuzi Mhandisi Godfrey M. Kasekenya...
Wadau,engine ni 1NZ,nikiwa naendesha iko kwenye D,nikikanyaga breki inawaka taa ya R na alarm,pia taa ya indiketa ya kulia inawaka,ila safari inaendelea bila tatizo,je maji yameingia sehemu?
Au waya zimegusana?
Msaada tafadhali@jitumirabaminne..
Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia.
Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi ni volatile na tunahitaji jamii nzima kuwa so sensitive na mipango ya serikali. Binafsi na nadhani...
Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali...
Hili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule
Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha
Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini
Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini
changamoto ni hela?
Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia
dirishani wakati wa usiku
Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja
vitasa na kuingia kupitia mlangoni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.