Madonna ameahirisha ziara yake baada ya kuwa mgonjwa na kukaa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku kadhaa.
Taarifa iliyotumwa kwenye Instagram na meneja wa mwanamuziki huyo wa Marekani, Guy Oseary, ilisema: "Siku ya Jumamosi Juni 24, Madonna alipata maambukizi makubwa ya bakteria ambayo...