Nakupa homework; nitajie wimbo wa Ngwair akilia kuteswa na mapenzi. Nioneshe ngoma ya Albert Mangweha, akilalamika maisha yamempiga mpaka akakata tamaa. Ukipata, nitakwenda Kihonda, Morogoro, nikalale mwezi mzima juu ya kaburi lake.
Ngwair alifanya muziki wa maono yake. Alijiona katika jukwaa...