alex ferguson

  1. Manyanza

    Happy birthday Sir Alex Ferguson

    He won the Premier League 13 of his 21 seasons in charge including two three-peats. He was a two-time champion of Europe. Five FA Cups and four League Cups. It's legendary former Manchester United manager Sir Alex Ferguson's birthday 👑
  2. JanguKamaJangu

    Rekodi za Makocha wa Manchester United kwenye michuano ya Ulaya tangu Fergie alipostaafu

    1. Michael Carrick Matches – 1, Wins – 1, Draw – 0, Loses – 0, Win % - 100 2. Jose Mourinho Matches – 29, Wins – 18, Draws – 6, Losses 10, Win % - 62 3. Ole Gunnar Solskjaer Matches – 35, Wins – 19, Draws – 6, Losses – 10, Win % - 54 4. David Moyes Matches – 10, Wins – 5, Draws – 3...
  3. ESCORT 1

    Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia

    Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia. Wawili hao walioana mwaka 1966 na wamedumu kwenye ndoa mpaka mauti yalipomfika bibie Lady Cathy akiwa na miaka 85. Ameacha watoto watatu...
  4. JanguKamaJangu

    Miaka 10 tangu Alex Ferguson astaafu, Man United haijarudi kwenye mstari

    Ni miaka 10 rasmi tangu Sir Alex Ferguson (81) alipotangaza kustaafu kuifundisha Manchester United na kufundisha soka kwa jumla Akiwa klabuni hapo alishinda mataji 13 ya Premier League, 5 (FA Cup), 4 (League Cup / Carabao), 2 Ligi ya Mabingwa, European Cup Winners' Cup, European Super Cup...
  5. Dr am 4 real PhD

    Eric Djemba Djemba: Mashine kutoka Afrika Magharibi na Siri ya Alex Ferguson kuhusu wachezaji wa Afrika

    Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo. Inasemekana Sir Alex Ferguson...
  6. The Genius

    Andy Cole na ubabe wa Ferguson

    . Leo kazaliwa Legend wa United Andy Cole, una ambiwa uhamisho wake kuja United kutoka Newcastle ulisababisha bifu zito kati ya Alex Ferguson na kocha wa Newcastle Kevin Keagan [emoji23] Ni stori ndefu lakini inaburudisha [emoji23] Mwaka 1995 Andy Cole akiwa katoka kuifungia Newcastle goli 43...
Back
Top Bottom