alex

Alex (Aleck or Alec is the Scottish form) may be a diminutive of the male given name Alexander, or its female equivalent Alexandra or Alexandria, or a given name in its own right. Alexander is derived from the Greek "Ἀλέξανδρος" (Aléxandros).
The East European male name Alexey (Aleksei, Alexis, Aleksa) is also sometimes shortened to Alex. It is a commonly used nickname in Spanish for Alejandro, Alexandro, Alejandrino and Alexandrino, and related names like Alexa and Alexis.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Alex Msama atangaza Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu, litafanyika Aprili 20, 2025

    Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae...
  2. Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

    Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break. Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River. Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield...
  3. Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  4. Happy birthday Sir Alex Ferguson

    He won the Premier League 13 of his 21 seasons in charge including two three-peats. He was a two-time champion of Europe. Five FA Cups and four League Cups. It's legendary former Manchester United manager Sir Alex Ferguson's birthday 👑
  5. Unpopular Opinion: Mhusika Alex Mahone alitumika ku-glorify matumizi ya madawa ya kulevya

    Hivi sasa ni saa 1 na dakika 38, nawasalimu wanajukwaa. Huku niliko hali ya hewa ni ya kiubaridi kidogo, anga limetandwa na kiza na nyota kadhaa zimeanza kuonekana. Narejea kwenye mada, kwa wale ambao hawamfahamu mhusika wa kubuni anayefahamika kwa jina la Alex Mahone naanza nao hivi; Alex...
  6. Siku Mungu akinijalia kadri ya mapenzi yake nitanunua chuma hiki alicho simama nacho alex jones katika picha hii

    "Labda najipiga fix tu, ila sio kosa kutumaini"
  7. Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

    Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
  8. TANZIA Waziri Mkuu wa zamani wa Scotland, Alex Salmond, ameripotiwa kufariki, the World will miss You

    Hayati Alex Salmond alikuwa Waziri Mkuu wa Scotland na aliongoza kura ya maoni ya kutaka Scotland Ijitenge, kisha akawa muongoza mada kati Televisheni ya Urusi Leo / Russia Today(RT) hadi February 2022 kisha akahamia kwenye mitandao ya kijamii kwa kuandaa makala mbalimbali. Ni mwaka huu chombo...
  9. Alex Ngereza: Yanga atamaliza ligi nafasi ya 3

  10. Nyota wa zamani wa Arsenal na Liverpool Alex Oxlade-Chamberlain mbioni kurejea katika Premier League

    Ex-Arsenal and Liverpool star Alex Oxlade-Chamberlain ‘in talks’ over shock transfer to return to Premier League ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN is reportedly in talks over a shock Premier League return with Brentford. The former Arsenal and Liverpool midfielder spent the past year playing for...
  11. R

    Hukumu ya Alex Msama na utapeli wa ardhi

    Kama una command ya kiingereza soma. Utaona kuwa people are smart! Pamoja na kuwa ni utapeli, lakini ulivyokuwa planned , Alex yuko smart. All in all, Court of Appeal imempiga chini na damages, costs juu!
  12. Safari ya Maanguko: Jinsi Betting Ilivyomfikisha Alex Kwenye Umasikini na Safari Yake ya Kuinuka Tena

    Hapo zamani za hivi karibuni, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye John. John alikuwa na rafiki yake wa karibu sana aitwaye Alex. Alex alikuwa kijana mwerevu, mwenye kipaji, na mwenye ndoto kubwa za kufanikiwa maishani. Alipokuwa shuleni, Alex alikuwa akiota kuwa mfanyabiashara mkubwa na kupata...
  13. Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800. Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa. PIA SOMA -...
  14. Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  15. Alex Ngereza: Simba wameenda kupoteza pesa Zanzibar

    Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:- "Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu...
  16. Alex Ngereza: Simba ilikuwa kwenye kundi dhaifu sana

    AKILI ZIMEANZA KUWARUDI " Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza...
  17. TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa. Alihamishiwa...
  18. C

    Sawa Ali Kamwe katuambia tarehe 2/12/2023 tuvae Kanzu na Misuli ila tuuzingatie na huu Ushauri wa Alex Luambano

    "Niwaombe tu wana yanga sc kuwa pamoja na kuambiwa na msemaji wao Ali Kamwe kuwa jumamosi watakapocheza na al ahly wavalie kanzu na misuli ila mimi naongezea kwakuwa wanacheza na waarabu (Al Ahly sc) ambao hawana masihara basi wahakikishe wanavalia na bukta kwa ndani kwani mwarabu si mtu mzuri"...
  19. Alex Luambano: Sijawahi kuwaona Real Madrid wamebeba mapipa, Al Ahly wapunguze mikwara

    Baada ya Al Ahly kutua airport huku wakionekana wamebeba mapipa makubwa kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba, mwandishi mkongwe wa michezo kutoka Clouds Fm, Alex Luambano apigwa na butwaa. Sijawahi kuwaona Real Madrid wakiwa wamebeba mapipa, sasa hii Al Ahly ambayo ni miongoni mwa timu kubwa...
  20. Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia

    Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia. Wawili hao walioana mwaka 1966 na wamedumu kwenye ndoa mpaka mauti yalipomfika bibie Lady Cathy akiwa na miaka 85. Ameacha watoto watatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…