Wachezaji wawili wa Liverpool, Mohamed Salah “Mo Salah” na Trent Alexander-Arnold wameonekana wakirushiana maneno hali iliyofanya wenzao kadhaa kuingilia kati na kuwatenganisha wakati wakisogeleana wakati walipokuwa kwenye Uwanja wa Mazoezi.
Tukio hilo limetokea muda mfupi kuelekea mchezo wa 16...
Imeelezwa kuwa Klabu ya Real Madrid imekata tamaa zoezi la kumsajili beki wa pembeni Trent Alexander-Arnold kutoka Liverpool katika Dirisha Dogo la Usajili wa Januari, hiyo ni baada ya ofa yao ya Pauni Milioni 20 kudaiwa kukataliwa.
Trent (26) anaelekea mwishoni mwa mkataba wake na kama...
Klabu za Hispania, #RealMadrid na #FCBarcelona zinaendelea kumfuatia kwa ukaribu beki wa pembeni wa #Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25), ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa Msimu wa 2024/25.
Inadaiwa Liverpool ipo tayari kumpa mkataba mpya utakaomfanya alipwe Pauni...
Klabu ya Real Madrid inadaiwa kuwa inamfuatilia beki wa pembeni wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25) ambaye amekuwa tegemeo katika kikosi ch Liverpool tangu Mwaka 2016.
Mkataba wake unatarajiwa kumalizika Mwaka 2025 na inadaiwa mazungumzo ya kuuongeza bado hayajafanyika.
Alexander-Arnold...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.