NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Pastory Mnyeti ana doa la rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, kukiuka misingi ya utawala bora na inapendekezwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ashtakiwe mahakamani.
Viashiria vya harufu ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka vinatajwa na...
Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU - Tanganyika.
Video: By Mwananchi Digital
--
Rais Samia ameteua Baraza la Mawaziri...
Huyu ni miongoni mwa wale waliokuwa wanafaidi matunda ya nchi kwenye utawala wa Awamu ya 5, ni mmoja wa wale viongozi wa ngazi ya chini waliokuwa na Kiburi kilichopitiliza , inadaiwa alikuwa na uhusiano wa Kindugu na John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania .
Mnyeti aliokotwa kutoka kwenye...
"Alexander Mnyeti alikuwa akijificha kwenye kichaka cha uzalendo wa mwendazake kutekeleza ufisadi wake ".
Humu ndani ya jamvi iliwahi kusemwa ya kwamba mheshimiwa Alexander Mnyeti mbunge wa jimbo la Misungwi mkoani Mwanza anao utajiri ambao hauelezeki ukizingatia umri wake na kipindi alichokaa...
Moja ya matatizo ya serikali yetu ni kutokufuatilia kwa makini utendaji wa watumishi wa umma na inapofikia watumishi wakijipanga kwenye vikundi vyenye nia ovu na vinavyojiamini basi ofisi za umma zinakuwa sawa na madanguro ya kukusanya fedha na kuhujumu haki za wananchi.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa...
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.