Alfa Mshana ni kijana wa Tanzania anayejulikana katika uongozi wa wanafunzi na siasa.Maelezo:
Aliwahi kuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi (President of Students' Government) katika Chuo cha Mipango Dodoma (Institute of Rural Development Planning - IRDP)
Mwaka 2025 alijitosa katika siasa na kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Mwanga (Kilimanjaro) katika uchaguzi mkuu wa 2025.