alfajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M24 Headquarters-Kigali

    ATC ya saa 5 usiku JRO-DAR tunaondoka saa 9 alfajiri?

    1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri. 2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali. 3. ATC ina CEO/MD? NB: European Union wana kila sababu kuipiga pini...
  2. The Watchman

    Ahmed Ally: Kikosi cha Simba kimeanza safari, kinatarajiwa kuwasili mapema kesho alfajiri

  3. Waufukweni

    Simba SC kuondoka nchini Jumatano kwenda Algeria kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine

    Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza kuhusu safari hiyo, Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa...
  4. FatherOfAllSnipers

    Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura. Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP. Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo...
  5. E

    Wazo la biashara (alfajiri)

    Jambo, Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am) Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana Karibuni kwa mawazo
  6. mtwa mkulu

    Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri

    Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi. MSTARI WA KUSIMAMIA Zaburi 90:14 "...
  7. Gulio Tanzania

    Anza utaratibu wa kufanya maombi asubuhi alfajiri utajibiwa haraka sana

    Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote. Yohana 15 Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii...
  8. Waufukweni

    Kenya: Kanisa lapewa onyo kwa kupiga kelele usiku, waenda na kipimo alfajiri

    Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii. Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
  9. ndege JOHN

    Ukiamka alfajiri sana mambo yanaenda vizuri

    Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
  10. G

    Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

    Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani. Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF Hali hii tunaipitia wangapi? MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
  11. KING MIDAS

    Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

    Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu. Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama. Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua...
  12. Wakili wa shetani

    Saa kumi na moja alfajiri ndiyo muda wa malijendari kuamka au kwenda kulala

  13. Jaji Mfawidhi

    "Matajiri" wa ada estate na maskini wa kinondoni shamba"

    In 1888, in Chicago United States of Ameerica A bridge was built to connect two parts of the city. A toll was charged but officials wanted it to be a "progressive" tax. Rich people will pay more to cross. So how could they identify rich and poor quickly? They had an idea, rich people wear...
  14. sky soldier

    Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

    Hawa wanga mbaki kuwasikiaga tu na kama huamini hawa watu wapo basi ni dhahiri wewe si mkristo wala muislamu maana haya mambo yapo kwenye vitabu vyote, na hata kwa mila zetu waafrika hawa wanajulikana kwa kuwa miiba katika maisha ya watu enzi na enzi, Ni mwaka 2014 ndio kwa mara ya kwanza...
  15. GENTAMYCINE

    Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
  16. NetMaster

    Kujiajiri kunaweza kuwa utumwa, mwaka wa tatu huu bampa to bampa kuamka alfajiri kurudi usiku, sina muda wa kutosha hata wa kupumzika na mtoto wangu

    Uhuru wa kuwa na muda wa kufanya mambo yako nao una umuhimu aisee. Utamu wa ngoma ingia ucheze, usilewe na maneno matamu ya motivational speakers kujidanganya kwamba kila mtu aliejiajiri anaweza kuamua aamke saa ngapi, aende likizo wiki nzima mbugani, n.k. haya mambo wanaoyaweza ni kundi la...
  17. Kiranja Mkuu

    Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  18. luangalila

    USHAURI: Serikali ifuatilie mahubiri yanayotolewa na baadhi ya wachungaji majira ya usiku na alfajiri

    Kuna mchungaji fulani yupo BUZA kwalulenge huwa ana ruka hewani kupitia redio fulani Usiku majira ya saa 4 alfajiri. Tarehe 7/4/2022 ulitoa mahubiri ya ovyo sana yaliyo ashiria kuzalilisha jinsia KE, niko na audio ya hayo mahubiri. Lugha uliyotumia ilikuwa ni ya uzalilishaji sanaa.
Back
Top Bottom