Swalama ndugu zanguni?
Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.
Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...