Mvutano umeibuka Machakos baada ya Gavana Wavinya Ndeti kujibu madai ya aliyekuwa gavana wa kaunti hiyo na sasa Waziri wa Kazi, Alfred Mutua, kuhusu hali ya Machakos People’s Park.
Mutua alikosoa hali ya hifadhi hiyo baada ya kuitembelea, akisema amehuzunishwa kuona kituo hicho cha burudani na...