alhad mussa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Kamati ya amani ya viongozi wa dini imfukuze sheikh Alhad Mussa, kadhihirisha hafai kwa lolote

    Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
  2. BARD AI

    Mizengo Pinda adai Sheikh Alhad Mussa anastahili Udaktari wa Heshima

    Wakati kukiwa na mjadala kuhusu utolewaji wa shahada za udaktrari wa falsafa wa heshima (PhD), Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ametetea shahada kama hiyo aliyopewa Mwenyekiti kamati ya maridhiano Sheikh Alhadi Mussa Salum, akisema anastahili kuwa nayo. Alhadi Mussa Salum aliyekuwa Sheikh mkuu...
  3. BARD AI

    Tetesi: Baraza la Ulamaa lilimpa masharti Mufti Mkuu, Amuondoe Alhad Mussa, Aondoke yeye au Waondoke wote wawili

    Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake. “Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
  4. figganigga

    Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

    Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi. Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini ==== Aliyekua Sheikh wa...
  5. USSR

    Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

    Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka. Juzi vyombo vya...
  6. Ghazwat

    DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salim hivi sasa anazungumza na waandishi wa vyombo vya habari kuhusiana na kuhusishwa na kampeni zinazoendelea katika Jimbo la Kinondoni. ===== Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Mussa Alhad ameelezea picha inayosambaa kwenye mitandao...
Back
Top Bottom