ali khamenei

  1. G

    Ali Khamenei si kautaka mwenyewe? Siku chache alizobakiza hataamini jinsi atavyouawa na watu wake wa karibu kama ilivyokuwa kwa Ghadafi

    ukimlenga mfalme hakikisha humkosi, alichofanya Ali Khamenei leo ni mwanzo wa safari yake kuelekea Ahera lakini atachokosea ni kujilinda zaidi dhidi ya Jeshi la Israel kwa kudhani atashambuliwa na Drone, Ndege za vita, bomu, n.k, Hao Israel wala asiwe na hofu nao, Bwana huyu atauawa kwa usaliti...
  2. B

    Ali Khamenei agawa nishani kwa makamanda waliotoa kipigo cha mbwa koko

    Kulikuwa kipigo kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi: Hayakuwa maeneo ya raia wala miundo mbinu. Kilikuwa kipigo cha mbwa Koko!
  3. mtoro wa shule

    Kati ya Masoud Pezeshkian na Ali Khamenei, kiitifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake?

    Hapa rais wa nchi ya Iran Masoud Pezeshkian kaketi chini Ali Khamenei akiwa amepozi juu ya kiti. Ki itifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake hapo.
Back
Top Bottom