ali kibao atekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TBT: Msimamizi wa Tashriff asimulia mkasa mzima wa kibao, ataja jina la abiria waliyemshuku

    Sikiliza dakika 1:23 mpaka 1:28 ujue wahusika https://youtu.be/1sCeV1v0r3Y?si=6cBtNdH3js6ZhEvz
  2. TBT: Tashriff wafunguka mkasa mzima alivyotekwa Mzee Kibao. 'Tuliogopa walikuwa na silaha za moto'

  3. Siku 100 Toka Mauaji Ali Kibao: Ukimya Watanda Juu ya Hatma ya Uchunguzi

    Leo Disemba 16, 2024, zinatimia siku 100 tangu aliyekuwa mwanasiasa mwandamizi wa chama cha upinzani cha CHADEMA, Ali Mohamed Kibao, alipotekwa Septemba 6, 2024, na mwili wake kupatikana Ununio, Dar es Salaam, Septemba 7, 2024, akiwa ameuwawa huku mwili wake ukiwa umeharibiwa vibaya. Tukio hilo...
  4. John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) --- John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti: Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…