ali mohammed kibao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    Tanzania ndiyo nchi pekee mtu anatekwa mchana, anauawa na mpaka sasa hakuna aliyewajibika

    Hali hii si ya kawaida, Mamlaka zinatambua, watu wameshuhudia Marehemu Kibao alivyokamatwa na kutokomea na gari lenye plate namba ambazo hata kama hazijulikaniki, ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama kufanyia kazi haraka. Lakini mpaka sasa hakuna aliyefikishwa mahakamani kwa tuhuma za...
  2. Influenza

    Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

    Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
  3. Mshana Jr

    Hakufa kizembe: Nina hakika kuna watu walichezea vitasa. Tena vya maana

    Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake ulikuwa wa kikomandoo Imformer Gari mbili za kazi 'Watu' wenye silaha za moto Pingu Haukuwa...
  4. J

    Pre GE2025 Mnyika: Mzee Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa. Tutaendeleza Majukumu aliyoyaacha!

    Katibu Mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema Mjumbe wa sekretarieti ya Chadema hayati Ally Mohamed Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mnyika amesema wakati wanafuatilia Kwa karibu Wahusika wa Unyama huu ni Lazima waendelee na...
  5. Kikwava

    Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

    Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA. Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi. R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Back
Top Bottom