KIPINDI MAALUM CHA ALI MSHAM IBN TV AFRICA
Leo nimetembelewa na mtangazaji Hemed Lubumba wa IBN TV ili tufanye kipindi cha Ali Msham.
Ali Msham alikuwa mpigania uhuru.
Mengi tumeyapata kwa msaada wa picha zilizopigwa na mpiga picha maarufu wa nyakati zile za kupigania uhuru wa Tanganyika...