Mwenyekiti wa maofisa watendaji wakuu wa kampuni nchini (CEOrt), Ali Mufuruki ameishauri Serikali kushirikiana kikamilifu na wawekezaji binafsi ili dhana ya Tanzania ya viwanda iweze kufanikiwa.
Mufuruki aliyepata kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL)...