Zimekuwepo kampeni za wazi mitandaoni za kumblackmail mhehimiwa rais kumtaka amuachie huru Sabaya. Wanaofanya haya wanatumia mbinu ya mashambulizi ya kisaikolojia ili kumfanya mheshimiwa rais ajisikie hatia kwa uwepo wa sababya ndani na hivyo kuchukua uamuzi wa kutumia ushawishi wake kumfutia...
Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
Ukiijua kweli itakuweka huru. Nduguzangu hii ni ngumu kumeza ila ipo katika politiko sayansi nimeona si vyema kuficha ngoja tuelimishane japo kidogo. Nikisema sayansi ninamaana ni uchunguzi wa kimaabara kupata ukweli, iko hivi Mbowe alijenga nguvu ya umma bila huo umma kuupa hiyo nguvu. Nini...
Habari zenu ndugu zangu,
Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa.
Raisi akaamua kupuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.